Harry
Maumivu yangu ya kichwa yana maana gani?
Embu tuone baadhi ya aina za kawaida za maumivu ya kichwa, yanaathiri sehemu gani ya kichwa, na yanaweza kuwa na maana gani.
Kwanini usiwe na uthubutu? Muda wowote unaoutumia ukiwa umesimama ni uamuzi wenye mwelekeo sahihi. Utajihisi vizuri zaidi kwa kufanya hivyo.
Embu tuone baadhi ya aina za kawaida za maumivu ya kichwa, yanaathiri sehemu gani ya kichwa, na yanaweza kuwa na maana gani.
Elewa malaria ni nini, dalili zake, na pata vidokezo kadhaa vya kujikinga vitakavyokufanya wewe na familia yako kuwa na afya njema.
Hedhi ni kipindi ambacho mwanamke huingia katika siku zake. Jifunze zaidi kuhusu dalili zinazotokea kabla ya kuanza hedhi, maumivu wakati wa hedhi pamoja na hedhi kukoma.