Soma dunia inasema nini kuhusu Ada

Milioni 10
Watumiaji
250,000
Makadirio ya Mtumiaji
4.7
Kadirio la Nyota
Ushindi wa tuzo. Erevu. Kibinafsi.
Inaaminiwa na wataalamu wa tiba na watumiaji

Ada Stories, Guatemala
Dk. Stefanie Ponce
0:48Ada Stories, Guatemala
Dk. Stefanie Ponce
Daktari wa mfumo wa mkojo (urologist) Mguatemala Dk. Stefanie Ponce akielezea jinsi Ada inavyoweza kujenga ufahamu na kupelekea kuzuia magonjwa sugu.

Ada Stories, Ujerumani
Dk. Andreas Kaufmann
0:52Ada Stories, Ujerumani
Dk. Andreas Kaufmann
Mwanabiolojia wa Kijerumani na mtafiti Dk. Andreas Kaufmann anasema Ada inaboresha utambuzi wa mapema wa magonjwa ya wanawake kama vile kansa ya kizazi.

Ada Stories, Austria
Dolores
0:38Ada Stories, Austria
Dolores
Mtumiaji wa Ada wa Austria Dolores anaeleza jinsi app ilivyomsaidia kuelewa kwamba dalili za maji maji kwenye macho na pua kuziba sio lazima kusababishwa na mafua.