1. Ada
  2. Editorial
  3. Ada

Ada

Ada ni kampuni ya afya ya kimataifa iliyoanzishwa na madaktari, wanasayansi, na mapainia wa sekta ya teknolojia ili kuwezesha njia mpya kwa afya binafsi. Msingi wa mfumo wa Ada unauganisha maarifa ya kitiba na teknolojia erevu ili kusaidia watu wote kusimamia afya zao na wataalamu wa matibabu kutoa huduma kwa ufanisi. Ada inajuvunia kushirikiana na mifumo ya juu ya afya na mashirika ya kimataifa yasiyotafuta faida (global non-profit organizations) kutimiza maono ya kuboresha ufanisi katika huduma za afya.

hello@ada.comTwitter