1. Ada
  2. Editorial
  3. Bethany Dufresne

Bethany Dufresne

Bethany ana uzoefu mbalimbali wa masuala ya mawasiliano. Kabla ya Ada, aliongoza idara ya mawasiliano ya kampuni changa ya teknolojia ya fedha jijini San Francisco na pia alipata uzoefu zaidi kupitia kampuni ya Edelman (kampuni ya kimataifa ya Mawasiliano ya Umma). Bethany amehitimu shahada ya uzamili kwenye masuala ya kimataifa kutoka Chuo cha New York. Ndani ya Ada, Bethany anasimamia mawasiliano na mahusiano ya Umma (PR).

Makala zilizoandikwa: