1. Ada
  2. Editorial
  3. Dr. Adel Baluch

Dr. Adel Baluch

Kwa kipindi cha miaka nane, Dk. Adel Baluch amefanya kazi kama daktari chini ya Mpango wa Huduma za Afya ya Taifa (NHS) wa Uingereza (UK). Anaandika kuhusu tiba za mpangilio wa maisha, magonjwa sugu, afya ya akili, na anahamasisha ushirikiano wa karibu baina ya tiba na teknolojia. Dk. Adel pia anachanganya tiba na teknolojia kusimamia afya yake binafsi, ambapo anatumia app ya Strava kufuatilia maendeleo katika mwendo na umbali wakati anakimbia na kuendesha baiskeli.

Makala zilizoandikwa: