1. Ada
  2. Editorial
  3. Dk. Claire Novorol

Dk. Claire Novorol

Dk. Claire Novorol

Claire ni daktari, na amehudumu kama daktari wa watoto London kabla ya kujikita kwenye masuala ya chembe za urithi (clinical genetics). Claire ana shahada zote mbili, yaani ya Patholojia na ya tiba kutoka chuo cha Bristol na shahada ya uzamivu ya mishipa ya fahamu kutoka chuo cha Cambridge. Claire anasimamia masuala yote ya tiba ya Ada. Kama mmoja wa viongozi wenye fikra katika sekta ya matibabu, anawakilisha wauguzi, wagonjwa na madaktari kuhakikisha kwamba bidhaa yetu inakidhi mahitaji yao.

TwitterLinkedIn