1. Ada
  2. Editorial
  3. Dk. Fábio Pereira

Dk. Fábio Pereira

Fabio Pereira

Dk. Pereira alisomea udaktari katika Chuo Kikuu cha Porto, na alihitimu masomo yake ya udaktari kwa kupata Shahada ya Uzamili katika Sayansi ya Tiba za Viumbe katika Chuo cha Udaktari cha Charité, Berlin. Wakati hafanyi maudhui yetu ya kitiba yawe sahihi, rafiki kwa mgonjwa, na ya kuvutia kadri iwezekanavyo, Fábio hufanya utafiti wa mifano ya utambuzi wa muziki kupitia shahada yake ya Uzamili ya utafiti wa sauti katika Chuo cha Goldsmiths jijini London.