1. Ada
  2. Editorial
  3. Sebastian Szur

Sebastian Szur

Sebastian ni daktari mzaliwa wa Berlin na mwandishi wa makala, ambaye amesomea Chuo Kikuu cha Tiba cha Charite. Alianzia kwenye timu ya Ada ya maudhui ya tiba kabla ya kuhamia kwenye maudhui ya masoko. Anaandika kuhusu tiba na afya, na kuhakikisha maudhui yetu ni sahihi na rafiki kwa mgonjwa, na pia ni ya kuburudisha na kushirikisha. Katika muda wake wa ziada, Sebastian anaandika riwaya na kucheza dansi kwenye kumbi maarufu za muziki wa tango jijini Berlin.

LinkedIn

Makala zilizoandikwa: