Hatua zetu

Ada ilianzishwa na timu ya madaktari, wanasayansi, na wahandisi ambao wana imani moja kwamba kila mtu duniani anatakiwa kupata taarifa na huduma za kibinafsi za afya zilizo bora.

Jul 2020

Tathmini za dalili milioni 20 zinakamilishwa na Ada

Jun 2020

Ada inakua kufikia watumiaji milioni 10

Sep 2019

Tathmini za dalili milioni 15 zinakamilishwa na Ada

Aug 2019

Ada inakua kufikia watumiaji milioni 8

Jun 2019

Ada inakaribisha muajiriwa wake wa 200

Apr 2019

Ofisi ya pili Berlin inafunguliwa

Mar 2019

Ada inakua kufikia watumiaji milioni 6

Tathmini za dalili milioni 10 zinakamilishwa na Ada

Dec 2018

Ada imeshinda tuzo ya Wirtschaftswoche 2018 kwenye kipengele cha afya

Nov 2018

Ada imeshinda tuzo ya Health-i

Ada imeshinda tuzo ya Mustakabali ya cdgw

Oct 2018

Ofisi ya New York inafunguliwa

Ada inakua kufikia watumiaji milioni 5

Ada anakuwa muongeaji mzuri wa Kifaransa

Sep 2018

Ada anakuwa mtatuzi wa MIT na kushinda tuzo ya Akili Bandia kwa Manufaa ya Binadamu na Tuzo Okoa Watoto kwa Vumbuzi za Mafanikio kwa Watoto

Jul 2018

Ada inakuwa mshindi wa tuzo ya “Hottest Health Startup 2018”

Ada inakua kufikia watumiaji milioni 4

May 2018

Tathmini za dalili millioni 5 zinakamilishwa na Ada

Ada inakuwa muongeaji mzuri wa Kihispania. ¡Hola! ¿Cómo estás?

Ada anakuwa muongeaji mzuri wa Kireno

Apr 2018

Ada ina shinda tuzo ya Jukwaa bora zaidi la Mgonjwa katika Mkutano wa Kimataifa wa Biashara za Huduma za Afya

Ada inathibitishwa na mamlaka ya viwango ya TÜV Nord kwa Hati nambari ISO/IEC 27001

Ada inakua kufikia watumiaji milioni 3

Tathmini za dalili milioni 4 zinakamilishwa na Ada

Feb 2018

Ada ilitunukiwa tuzo ya uvumbuzi bora kabisa wa bidhaa za matumizi ya watu mwaka 2018 kwenye Mkutano wa Dunia wa Simu za Mkononi mjini Barcelona

Jan 2018

Ada inakua kufikia watumiaji milioni 2

Dec 2017

Mfanyakazi wa 100 aajiriwa

Nov 2017

Ada inakuwa muongeaji mzuri wa Kijerumani

Oct 2017

€ Milioni 40 za Awamu A ya ufadhili

Aug 2017

Ada yapewa kiwango # 1 cha App ya kitiba na watumiaji kutoka nchi zaidi ya 130 kwenye maduka ya mitandao ya Apple na Google Play

Jul 2017

Ada inashinda tuzo ya Frost & Sullivan kwenye sekta ya Akili Bandia (AB)

Ada inakua kufikia watumiaji milioni 1

Jun 2017

Ada imetunukiwa tuzo ya “Silver Cannes Lions”

Apr 2017

Ada yaonyeshwa kama App bora zaidi ya kitiba kwenye maduka ya App Marekani na Kanada

Mar 2017

Ada imezaliwa kwenye mfumo wa Android! Inapatikana kwenye duka la Google Play

Jan 2017

Watumiaji 100,000 wa mwanzo

Nov 2016

Ada imezaliwa! Inapatikana kwenye duka la App la Apple

2016

Ofisi ya London inafunguliwa

2015

Ofisi ya Munich inafunguliwa

2011

Watafiti wetu wanaanza kujenga mfumo wa kidigitali wa kisasa wa kuhifadhi takwimu za maarifa ya kitiba

Waanzilishi wa Ada Daniel Nathrath, Dk. Claire Novorol, na Dk. Martin Hirsch wanakutana Berlin