App ya Ada inakuwezesha kufikia:

Tathmini ya dalili.
Imetengenezwa kwa kutumia akili mnemba na ushahidi wa kitabibu.
Sahihi
Tafiti za kitabibu zinaonyesha kuwa Ada Assess ni zana ya tathmini ya dalili iliyo sahihi zaidi.Ya Siri
Tunalinda taarifa zako binafsi kwa kufuata viwango vya juu vya ulinzi wa taarifa.
Taarifa zako. Maamuzi yako.Ya kuaminika
Ada ni miongoni mwa App maarufu za tathmini ya dalili. Imepata ukadiriaji wa 4.75/5 kwenye Android na 4.8/5 kwenye iOS.
Teknolojia iliyoshinda tuzo
M15watumiaji
M35Tathmini za dalili zimekamilishwa
350,000makadirio ya nyota-5
5lugha za bidhaa
50wastadi wa tiba
Anza kutumia Ada leo









