Afya.
Powered by Ada.

Inasaidia matokeo bora zaidi ya afya na uhodari wa kitiba kwa kutumia teknolojia erevu.

Tunza afya yako

Mwili wako unakutumia ishara muhimu kuhusu afya yako. Elewa, simamia, na pata huduma kuhusiana na dalili ndani ya dakika kadhaa kwa ustadi wa kitiba unaoaminika

Pakua Ada

Boresha pamoja nasi afya na huduma

Wasilisha matokeo bora zaidi kwa kutumia masuluhisho imara ya biashara. Arifisha maamuzi ya kiafya, upangaji wa matibabu (triage) kuelekea huduma sahihi, punguza gharama zinazoepukika. 

Kuwa mshirikaPowered by Ada

Mshirika anayeaminika duniani kwa AI inayoendeshwa kitiba.

  • Sutter Health
  • Fondation Botnar
  • Pfizer
  • Takeda
  • Labor Berlin
  • Santéclair
  • Obëikan
  • Novartis
11,300,000
watumiaji
23,400,000
tathmini

App ya tathmini ya dalili ambayo ni maarufu zaidi

Imeboreshwa na madaktari wa kibinadamu

Mwongozo wa kitiba katika lugha yako

Kusaidia ukabiliaji wa magonjwa yanayoenea

Ujumuishaji mpana zaidi wa magonjwa

Dk. Kirsten Gray
Mhandisi wa Maarifa ya Kitiba

Dk. Yusuf Cem Kaplan
Mhandisi wa Maarifa ya Kitiba

Dk. Adel Baluch
Mkurugenzi wa Masuala ya Kitiba, Biashara

Ubora wa tiba uko kwenye DNA yetu 

Hakuna njia za mkato za kuwa daktari mwenye sifa zinazostahili, na hakuna njia za mkato za kusitawisha AI inayoinua kiwango cha usahihi wa kitiba, upatikanaji wa huduma kwa mtumiaji, na udhibiti wa tasnia.

Inakidhi mahitaji ya EU-GDPRNembo ya CEISO 27001ISO 13485

Kuwa ni mwenye taarifa

Kuepuka uchovu mwingi

Kadiri msongo unavyoongezeka, ndivyo uchovu mwingi hunyemelea. Mara nyingi, inaweza kuwa ngumu kutambua, lakini kuna dalili kadhaa za kuzingatia.

Kuepuka uchovu mwingi

Kudhibiti wasiwasi

Tenga muda kwa ajili yako. Kwa kuwa na uvumilivu kidogo na pia kujitunza, unaweza kudhibiti hali yako ya kuhisi wasiwasi, ili isiweze kuteka maisha yako.

Kudhibiti wasiwasi

Kujishughulisha

Kwanini usiwe mwenye kuthubutu? Muda wowote unaoutumia ukiwa umesimama ni uamuzi wenye mwelekeo sahihi. Utajihisi vizuri zaidi kwa kufanya hivyo.

Kujishughulisha

Anza kutumia Ada leo