Mwambie Ada unavyojihisi
Ada inauliza maswali rahisi, yanayohusiana na ugonjwa wako na kulinganisha majibu yako na maelfu ya magonjwa mengine yanayofanana na ugonjwa huo. Lengo ni kukusaidia kupata uwezekano wa maelezo ya dalili za ugonjwa wako.

Tambua nini kinaweza kuwa kinakusumbua
Mfumo wa msingi wa Ada unaunganisha maarifa ya kitiba na teknolojia erevu. Maktaba ya Magonjwa inatoa taarifa rafiki za kitiba, ambazo zimeandaliwa ili kukusaidia kuelewa vizuri zaidi kuhusu afya yako na kuisimamia.
App moja, maumbo mbalimbali

Nembo ya CE
Bidhaa zetu zote zimesajiliwa kama kifaa cha tiba daraja la kwanza katika Eneo la Kibiashara la Ulaya (European Economic Area) (EEA).