Chapa ya Taarifa

Chapa hii (inayotolewa kwa mujibu wa Sheria ya Kijerumani sehemu ya § 5 ya huduma za simu na sehemu ya § 55 kifungu cha 2 cha Mkataba wa utangazaji kati ya mataifa) inatumika na halali kwa tovuti zote na mitandao ya kijamii inayomilikiwa na Ada Health GmbH.

Taarifa za Mtoa Huduma

Ada Health GmbH
Neue Grünstraße 17
10179 Berlin

Simu: +49 30 403 67 390
Barua Pepe: [email protected]

Makao Makuu ya Usajili wa Kampuni: Munich
Nambari ya Usaliji wa Mahakama ya Wilaya ya Munich - B 189710

Kitambulisho cha VAT: DE 276 580 695

Mkurugenzi Mtendaji: Daniel Nathrath

Kampuni Tanzu za Ada Health GmbH

Ada Digital Health Ltd.
Duke Street 33, 4th Floor
London W1U 1LH
Uingereza
Muungano wa Uingereza (UK)
Usajili wa ICO: ZA218767

Ada Health, Inc.
745 5th Avenue, 5th Floor
New York City, NY 10151
Marekani (USA)

Ada Digital Health Inc.
1500-151 Yonge Street
Toronto, Ontario, M5C-2W7
Canada
Nambari ya kampuni: 1317042-0
Mkurugenzi: Simon Wolpert,  Daniel Nathrath

Mtu anayewajibika kwa masuala yote ya uandishi wa habari na uhariri

Daniel Nathrath
Neue Grünstraße 17
10179 Berlin

Simu: +49 30 403 67 390
Barua Pepe: [email protected]

Jukwaa la mtandaoni la usuluhishi wa migogoro na usuluhishi wa migogoro na mtumiaji wa bidhaa

Tume ya Ulaya inatoa jukwaa la kusuluhisha migogoro kupitia tovuti ya http://ec.europa.eu/consumers/odr. Ada Health GmbH haishiriki katika kesi za utatuzi wa migogoro mbele ya bodi ya usuluhishi wa malalamiko ya watumiaji wa bidhaa.

---

Maunzi laini (software) yetu yanatumia msimbo wa jschardet yaliyosajiliwa chini ya LGPL toleo 2.1 na chanzo chake kinaweza kupakuliwa kupitia hapa.