Ugonjwa wa malaria
Elewa malaria ni nini, dalili zake, na pata vidokezo kadhaa vya kujikinga vitakavyokufanya wewe na familia yako kuwa na afya njema.
Rungwe ni mwandishi na msimamizi wa Maudhui yetu ya Kiswahili. Ni mhitimu wa Shahada ya Uzamili katika masuala ya kisiasa na kijamii. Wakati hana shughuli nyingi za uandishi na uhakiki wa maudhui yetu ya Kiswahili, hupendelea kufanya mazoezi na kuongeza maarifa kupitia vitabu vya sauti (audiobooks), video, na semina.
Elewa malaria ni nini, dalili zake, na pata vidokezo kadhaa vya kujikinga vitakavyokufanya wewe na familia yako kuwa na afya njema.
Hedhi ni kipindi ambacho mwanamke huingia katika siku zake. Jifunze zaidi kuhusu dalili zinazotokea kabla ya kuanza hedhi, maumivu wakati wa hedhi pamoja na hedhi kukoma.
Embu tuone baadhi ya aina za kawaida za maumivu ya kichwa, yanaathiri sehemu gani ya kichwa, na yanaweza kuwa na maana gani.
Kama ilivyo kwa watu wengi wanaosikia habari hizi, huenda ukawa pia na maswali. Leo tupo hapa kuyajibu kwa ajili yako.