1. Ada
  2. Editorial
  3. Rungwe Hashim

Rungwe Hashim

Rungwe Hashim

Rungwe ni mwandishi na msimamizi wa maudhui ya Kiswahili ya Ada. Pia anasaidia kupanga mikakati ya kampeni za masoko kwa nchi za ukanda wa Afrika ya Mashariki kama Tanzania. Rungwe pia anatumia ufahamu wake wa utamaduni wa ukanda wa nchi hizo ili kuisaidia kampuni kufikia malengo yake ya kibiashara. Ni mhitimu wa Shahada ya Uzamili ya “Comparative and Middle East Politics & Society” kutoka Chuo Kikuu cha Tuebingen (Ujerumani) na Chuo Kikuu cha Kimarekani, Kairo (AUC). Moja ya mambo anayopendelea ni kusikiliza vitabu vya sauti (audiobooks), video, na semina ili kufyonza maarifa mengi kadri iwezekanavyo. 

LinkedIn