

Ufuatiliaji wa mwenendo wa afya ya akili wakati wa janga la ugonjwa
Ili kuelewa athari za janga hili la ugonjwa wa korona kwa afya ya akili ya vijana, tulichunguza kwa kina takwimu za Ada ili kufahamu tatizo.
Alicia alipata mafunzo ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza kule London School of Hygiene & Tropical Medicine na ni Mtaalamu wa Magonjwa ya Mlipuko katika timu yetu ya Magonjwa ya Mlipuko & Afya ya Jamii. Ana uzoefu wa maeneo mbalimbali akifanya kazi katika nchi zenye rasilimali chache, ikiwemo Msumbiji, Nigeria, na Saint Lucia. Alicia anapendelea kuunganisha nguvu ya Akili Bandia (AI) na mbinu za kukabiliana na magonjwa ya milipuko ili kufanikisha kufikia matokeo bora zaidi ya afya kwa wote.
Tunatumia vidakuzi kwenye tovuti yetu ili kusaidia kukupatia tovuti ambayo ni rahisi kutumia, salama, na yenye ufanisi. Kwa kubofya “Kubali”, unaridhia matumizi yote ya vidakuzi. Isipokuwa, unaweza pia kutembelea mipangilio (settings) ya vidakuzi wakati wowote ili kutoa idhini yenye mipaka, na kupitia mipangilio, unaweza pia kukataa matumizi ya vidakuzi. Soma Sera yetu ya Kidakuzi na Sera ya Faragha ili kujifunza zaidi.