

Homa ya nyani: kile tunachofahamu
Kama ilivyo kwa watu wengi wanaosikia habari hizi, huenda ukawa pia na maswali. Leo tupo hapa kuyajibu kwa ajili yako.
Onder ni daktari kutoka nchini Uingereza na ni Meneja wa Maudhui ya Kitiba wa Ada. Kwa sasa, pia anasomea Shahada ya Uzamili katika Afya ya Kimataifa katika Taasisi ya Kitropiki ya KIT huko Uholanzi. Kitaaluma amejikita kwenye matibabu ya Dharura, afya ya umma ya kimataifa na teknolojia za kitiba. Katika siku zijazo, Onder anataka kutumia teknolojia zinazoendelea kwa kasi kuboresha usawa wa huduma za afya katika jukwaa la kimataifa la huduma ya afya.