1. Ada
  2. Editorial
  3. Vincent Cochez

Vincent Cochez

Vincent Cochez

Vincent ni Mfasiri wa Maarifa ya Kitiba wa Ada. Alihitimu kama daktari wa Mifupa (Osteopath) kutoka Chuo Kikuu cha Wales mwaka 2014. Maeneo yake makuu ya utaalamu ni kwenye matatizo ya viungo na misuli. Baada ya kuhitimu shahada ya magonjwa ya mifupa, alisoma Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano kwa Lugha Mbalimbali, ambapo alifanya utafiti kuhusu mawasiliano ya mgonjwa na daktari. Wakati wa muda wake wa ziada, Vincent hupenda kufanya mazoezi na kusafiri.

Makala zilizohakikiwa kitiba: