1. Ada
  2. Editorial
  3. Dk. Cesare Paolino

Dk. Cesare Paolino

Cesare Paolino

Cesare alipata Shahada yake ya Udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Salerno nchini Italia. Wakati wa masomo yake, alishiriki katika miradi ya utafiti katika neurolojia na sayansi ya mfumo wa neva. Baada ya kuhitimu, alifanya kazi miaka 2 kama daktari wa huduma ya msingi kabla ya kuhamia jijini London kuhitimu Shahada ya Uzamili katika Sera ya Kimataifa ya Afya kutoka Chuo cha LSE. Wakati akiwa chuoni hapo, utafiti wake ulijikita katika kutathmini athari zinazoweza kuletwa na afya ya kidijitali kwenye masuala ya tiba. Cesare anapenda sana mambo yanayohusu uvumbuzi katika teknolojia ya afya.

Makala zilizoandikwa: