Je, programu ya Ada inapatikana kwenye simu za iOS na Android?
App ya Ada inapatikana kwenye simu za iOS na Android. Unaweza kuipakua app katika nchi yoyote ambapo App Store au Google Store inapatikana. Mahitaji ya chini ya mfumo wa teknolojia ni iOS 13 au Android 8.0.
Angalizo: Katika baadhi ya nchi, tunashirikiana na mashirika ya afya ili kuunganisha wagonjwa wao na huduma za afya zinazowafaa. Ikiwa uliunganishwa kwenye app ya Ada kupitia moja ya huduma hizi, tafadhali tufahamishe ni huduma gani uliyotumia.
Have more questions? Submit a request