1. Ada
  2. Help
  3. Akaunti yangu katika App ya Ada

Nawezaje kufuta akaunti yangu?

Kitendo cha kufuta akaunti yako kinasababisha kufuta kabisa taarifa zako zote za kibinafsi kwenye seva zetu. 

Ili kufuta akaunti yako, fuata hatua hizi: 

  1. Fungua app ya Ada na uingie ndani ya akaunti
  2. Bofya alama ya ⚙️ (Mipangilio).
  3. Chagua Kuingia kwenye akaunti.
  4. Bofya Futa akaunti.
  5. Thibitisha kwa kubofya Futa.

Vinginevyo, ikiwa hauna app ya Ada kwenye simu yako au huwezi kuingia kwenye akaunti yako, wasiliana nasi kwa barua pepe uliyotumia kufungua akaunti na utupe ruhusa ya kufuta akaunti yako.

Have more questions? Submit a request