Afya.
Powered by Ada.
Inasaidia matokeo bora zaidi ya afya na uhodari wa kitiba kwa kutumia teknolojia erevu.
Tunza afya yako
Mwili wako unakutumia ishara muhimu kuhusu afya yako. Elewa, simamia, na pata huduma kuhusiana na dalili ndani ya dakika kadhaa kwa ustadi wa kitiba unaoaminika
Pakua AdaBoresha pamoja nasi afya na huduma
Wasilisha matokeo bora zaidi kwa kutumia masuluhisho imara ya biashara. Arifisha maamuzi ya kiafya, upangaji wa matibabu (triage) kuelekea huduma sahihi, punguza gharama zinazoepukika.
Kuwa mshirikaMshirika anayeaminika duniani kwa AI inayoendeshwa kitiba.
App ya tathmini ya dalili ambayo ni maarufu zaidi
Imeboreshwa na madaktari wa kibinadamu
Mwongozo wa kitiba katika lugha yako
Kusaidia ukabiliaji wa magonjwa yanayoenea
Ujumuishaji mpana zaidi wa magonjwa
Ubora wa tiba uko kwenye DNA yetu
Hakuna njia za mkato za kuwa daktari mwenye sifa zinazostahili, na hakuna njia za mkato za kusitawisha AI inayoinua kiwango cha usahihi wa kitiba, upatikanaji wa huduma kwa mtumiaji, na udhibiti wa tasnia.