

Kufanya kazi ukiwa nyumbani
Kutoka nyumbani na kwenda eneo jingine kila siku kwa ajili ya kazi hujenga desturi katika maisha yako, husaidia kudumisha afya bora na ustawi.
Harry ni Mwandishi wa Ada katika Masuala ya Kisayansi. Baada ya kuhitimu Shahada yake ya Uzamili katika Biolojia ya Molekuli kutoka Chuo Kikuu cha Sheffield, akiwa amefahamu thabiti kwamba maabara ya kisayansi haikuwa wito wake wa kweli, alirudisha fikra zake kwenye mapenzi yake ya dhati: maandishi. Alifanya kazi kama mhariri na mwandishi wa masuala ya kitiba katika wakala za mambo ya elimu na mawasiliano jijini London kabla ya kuhamia Berlin, ambapo alijiunga na Ada. Harry anapenda kusoma vitabu, kupiga/ kucheza muziki, na kufanya mazoezi ya capoeira.
Kutoka nyumbani na kwenda eneo jingine kila siku kwa ajili ya kazi hujenga desturi katika maisha yako, husaidia kudumisha afya bora na ustawi.
Tafiti zinaonyesha kuwa hata dakika 30 tu za kutembea haraka kila siku zinaweza kupunguza hatari yako ya kupata ugonjwa wa kisukari aina ya 2.