Je, app ya Ada ina sauti? Tunaweza kuzungumza?
Watu duniani kote huwasiliana na app ya Ada katika lugha nyingi. Ada kwasasa inaweza kuelewa na kujibu kwa njia ya maandishi ili kuabiri maelfu ya dalili na magonjwa. Tunapenda wazo la kuiwezesha app ya Ada kuongea kwa sauti, lakini kwasasa, inafanya kazi kwa maandishi tu.
Have more questions? Submit a request