Huduma zinatolewa kwa lugha gani?
Kwa sasa app ya Ada inatoa huduma kwa Kiingereza, Kijerumani, Kifaransa, Kihispania, Kireno, Kiromania na Kiswahili. Tunapanga kuongeza lugha mpya katika siku zijazo.
Ilu kuchagua lugha uitakayo, fanya yafuatayo:
- Fungua app ya Ada kwenye simu yako na uingie kwenye akaunti yako.
- Bofya ⚙️ (Settings) kwenye sehemu ya juu ya skrini yako upande wa kulia.
- Bofya lugha (Language).
- Kwenye orodha ya lugha zilizopo, chagua lugha uitakayo na maandishi ya app yatabadilika moja kwa moja kuwa lugha hiyo.
Have more questions? Submit a request