Je, ninaweza kuitumia app ya Ada kwa ajili ya mnyama wangu nimpendae kama vile paka au mbwa?
Ingawa tungependa kukusaidia kutunza afya za wanyama uwapendao, teknolojia ya Ada kwa sasa imeundwa na kuthibitishwa kwa ajili ya binadamu tu. Ikiwa una wasiwasi kuhusu afya ya mnyama wako, tafadhali wasiliana na daktari wa mifugo aliye karibu na eneo unaloishi.
Have more questions? Submit a request