Kupunguza muda wa skrini
Tuangalie jinsi gani muda wa skrini unaweza kuathiri afya yako, kiasi gani cha utazamaji kinatambulika kama ni kingi kupita kiasi, na vidokezo kadhaa vya jinsi ya kupunguza.
Dk. Shubs Upadhyay ni mmoja wa madaktari wa dharura wa mpango wa Huduma za Afya ya Taifa (NHS), Uingereza na mshiriki wa mpango wa Wajasiriamali wa Masuala ya Kitiba (2018/19), mwanzilishi mwenza wa mtandao wa “myGPevents” na mwenyeji wa “2 GPs in a Pod” - kipindi maarufu cha Podikasti kinachoelezea historia za madaktari wenye mvuto kutokana na mafanikio katika shughuli zao. Huandika kuhusu masuala ya afya duniani, tiba ya kitropiki, elimu ya kitiba, na uwezo wa teknolojia kusaidia huduma ya mgonjwa na usimamizi thabiti wa afya. Mazoezi ya Yoga, kutembea, na kupiga mbizi (scuba diving) humsaidia kudumisha afya ya mwili na akili.
Tuangalie jinsi gani muda wa skrini unaweza kuathiri afya yako, kiasi gani cha utazamaji kinatambulika kama ni kingi kupita kiasi, na vidokezo kadhaa vya jinsi ya kupunguza.
Kwanini usiwe na uthubutu? Muda wowote unaoutumia ukiwa umesimama ni uamuzi wenye mwelekeo sahihi. Utajihisi vizuri zaidi kwa kufanya hivyo.