1. Ada
  2. Editorial
  3. Dr. Shubhanan Upadhyay

Dr. Shubhanan Upadhyay

Dk. Shubs Upadhyay ni mmoja wa madaktari wa dharura wa mpango wa Huduma za Afya ya Taifa (NHS), Uingereza na mshiriki wa mpango wa Wajasiriamali wa Tiba (2018/19). Pia, ni mwanzilishi mwenza wa mtandao wa “myGPevents” na mwenyeji wa “2 GPs in a Pod." Huandika kuhusu masuala ya afya duniani, tiba ya kitropiki, elimu ya tiba, na uwezo wa teknolojia kusaidia huduma ya mgonjwa na usimamizi thabiti wa afya. Dk. Shubs anafanya mazoezi ya Yoga, kutembea, na kuogelea kuimarisha afya ya mwili na akili.

LinkedIn

Makala zilizoandikwa: