Vyombo vya Habari

Kuhusu Ada

Ada ni kampuni ya afya ya kimataifa iliyoanzishwa na madaktari, wanasayansi, na mapainia wa sekta ya teknolojia ili kuwezesha njia mpya kwa afya binafsi. Msingi wa mfumo wa Ada unauganisha maarifa ya kitiba na teknolojia erevu ili kusaidia watu wote kusimamia afya zao na wataalamu wa matibabu kutoa huduma kwa ufanisi. Ada inajuvunia kushirikiana na mifumo ya juu ya afya na mashirika ya kimataifa yasiyotafuta faida (global non-profit organizations) kutimiza maono ya kuboresha ufanisi katika huduma za afya. Tathmini milioni 15 zimekamilishwa tokea Ada imezinduliwa mwaka 2016 kwa matumizi ya ulimwengu mzima.

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Habari za kampuni

Mawasiliano na Vyombo vya Habari

Kalila Fahey
Kalila Fahey
Mawasiliano na Vyombo vya Habari