
Kampuni ya Ada yarudisha huduma ya afya ya kidijitali kwa lugha ya Kiromania na Kiswahili
Ada Health, kampuni ya kimataifa ya huduma ya afya ya kidijitali inayolenga kuboresha afya ya binadamu kwa kiwango kikubwa, leo inatangaza kupatikana tena kwa app ya Ada kwa lugha ya Kiromania na Kiswahili.







.png%3Ffit%3Dclip%26h%3D1080%26w%3D1920%26q%3D90&w=1080&q=70)





